Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji Duniani 2020

6 August 2020
Misungwi,Mwanza,Tanzania
Thu 6,  8:00 am
      Aug 7,  6:00 pm
Amani Girls Home

Katika Zahanati ya Ibongoya kata ya Mamaye Wilayani Misungwi wanajamii walivyo itikia wito wa kupata Elimu Malidhawa kuhusu unyonyeshaji wa Watoto kwenye wiki hit muhimu ya unyonyeshaji Duniani 2020. Hakika mradi wa AMKA  umeitikiwa kwa kishindo ikiongozwa na Kauli Mbiu ikiwa ni sote kwa pamoja “Tuwawezeshe wanawake kunyonyesha kwa Afya bora na ulinzi wa mazingira”

Social Network Widget by Acurax Small Business Website Designers
Visit Us On TwitterVisit Us On FacebookVisit Us On YoutubeVisit Us On Instagram